name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesisitiza umuhimu wa kufanyika mambo matano kuelekea uchaguzi | Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesisitiza umuhimu wa kufanyika mambo matano kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, akiyataja kuwa nyenzo ya kuongeza ushiriki wa wananchi na imani yao kwa uchaguzi huo.
Miongoni mwa mambo hayo ni wananchi kuhakikishiwa dosari zilizotokea mwaka 2019 hazitokei tena, kupewa uhuru wa... |
Mwanahabari wa kujitegemea, Erick Kabendera ametangaza uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya pingamizi lil | Mwanahabari wa kujitegemea, Erick Kabendera ametangaza uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya pingamizi lililozuia kuendelea kwa kesi yake anayokabiliana na Kampuni ya mtandao wa simu ya Vodacom Tanzania Ltd.
Kabendera aliifungua kesi hiyo, Julai mwaka huu, akiituhumu kampuni hiyo kuhusika na utoaji wa taarifa za mahali alip... |
Kama mara yako ya mwisho kufika Dar es Salaam ni miaka 10 iliyopita, pengine unahitaji mwenyeji wa k | Kama mara yako ya mwisho kufika Dar es Salaam ni miaka 10 iliyopita, pengine unahitaji mwenyeji wa kukupokea na kukuelekeza maeneo mbalimbali ya jiji hili.
Hilo linatokana na ukweli kwamba, karibu kila kitu kimebadilika kuanzia barabara, majengo marefu kwa mafupi na hata kuwapo kwa miji mipya kumeibadili Dar es Salaam... |
Kama uliwahi kujiuliza ni lini Tanzania itatekeleza miradi yake kwa makandarasi wake wa ndani, huu n | Kama uliwahi kujiuliza ni lini Tanzania itatekeleza miradi yake kwa makandarasi wake wa ndani, huu ni wakati sahihi na jawabu la swali hilo kupatikana.
Sababu ya maswali kama hayo ni uhalisia wa mwenendo wa utekelezwaji wa miradi mbalimbali nchini, ambayo aghalabu walipewa makandarasi kutoka nje ya nchi.
Kilichosabab... |
Moja ya alama kuu za juhudi za Serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi, ni ujenzi wa | Moja ya alama kuu za juhudi za Serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi, ni ujenzi wa Daraja la JP Magufuli, ambalo awali liliitwa Kigongo Busisi.
Mabadiliko ya jina la daraja hilo lenye urefu wa kilomita 3.2 yana uhusiano wa moja kwa moja na historia ya Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dkt. Jo... |
Licha ya uwepo wa vivuko vya watembea kwa miguu kutazamwa kama muarobaini wa ajali barabarani, kwa b | Licha ya uwepo wa vivuko vya watembea kwa miguu kutazamwa kama muarobaini wa ajali barabarani, kwa baadhi ya wananchi vimekuwa kama vikwazo.
Hatua ya kuviona vikwazo inatokana na kile kinachoelezwa na baadhi yao kuwa, urefu wake, uvivu wa kupanda unawalazimu wakatize barabara badala ya kutumia vivuko hivyo.
Hata hivy... |
Ni saa 144 zinazounda siku sita, ndio jumla ya muda ambao Rais Samia Suluhu Hassan ameutumia mkoani | Ni saa 144 zinazounda siku sita, ndio jumla ya muda ambao Rais Samia Suluhu Hassan ameutumia mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi.
Kwa mtazamo wa wanazuoni, ziara hiyo kwa maneno machache inatafsiriwa kuwa ya maelekezo, utatuzi kero, fursa na matumaini kwa wakulima.
Mtazamo huo wa wanazuoni, unaakisi uhalisia wa mlolong... |
Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha kukerwa na tabia ya baadhi ya viongozi wanaoacha taarifa za uzus | Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha kukerwa na tabia ya baadhi ya viongozi wanaoacha taarifa za uzushi zisambae bila kuzikanusha.
Kinachomkera zaidi ni kile alichofafanua, pamoja na uzushi huo aghalabu hutokea na kuyahusu maeneo yenye wawakilishi wa Serikali, lakini wanasubiri viongozi wa kitaifa waje kukanusha.
Kaul... |
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sambamba na Serikali kuanza ujenzi wa bandari ya Mbambabay, pia ina | Rais Samia Suluhu Hassan amesema sambamba na Serikali kuanza ujenzi wa bandari ya Mbambabay, pia inatarajia kuzungumza na Serikali ya Malawi juu ya ushirikiano katika huduma za bandari hiyo.
Hatua hiyo kwa mujibu wa Rais Samia, inalenga kufungua milango ya ushirikiano wa kibiashara kupitia bandari hiyo kwa mataifa hay... |
Kama ulidhani kuzaliwa kwako na baba na mama kunakupa uhalali usio na shaka wa kurithi mali walizona | Kama ulidhani kuzaliwa kwako na baba na mama kunakupa uhalali usio na shaka wa kurithi mali walizonazo unakosea, lipo takwa la kisheria linalokuondolea haki hiyo, ingawa mwenye mali ni baba au mama yako wa damu.
Pengine huu unaweza kuwa ukweli mchungu kwa baadhi ya warithi, kutokana na uhalisia wa matukio kadhaa ya ug... |
Baada ya kusuasua kiuendeshaji, hatimaye Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), imebadili mfum | Baada ya kusuasua kiuendeshaji, hatimaye Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), imebadili mfumo wa utendaji wake, ikitangaza kubadili mfumo wa utekelezaji wa majukumu yake, kwa kushirikiana na sekta binafsi kupitia ubia (PPP).
Kutokana na mabadiliko hayo, Temesa imewaita wawekezaji wa sekta binafsi kutoka ndani ... |
Katika jitihada za kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi na gharama za uzalishaji wa | Katika jitihada za kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi na gharama za uzalishaji wa kilimo, matumizi ya nishati ya umeme jua hasa kwenye umwagiliaji yanatazamwa kama suluhisho.
Teknolojia hiyo sio tu inapunguza gharama za kilimo, bali inachangia kuongeza uzalishaji wa mazao, hasa katika maeneo yenye uk... |
Rais Samia Suluhu Hassan ameyajibu matamko ya balozi zinazoyawakilisha mataifa mbalimbali nchini, ya | Rais Samia Suluhu Hassan ameyajibu matamko ya balozi zinazoyawakilisha mataifa mbalimbali nchini, yaliyotaka uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu, akisema Tanzania ni nchi huru haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake.
Katika majibu yake hayo, amewashutumu mabalozi hao akisema walichoki... |
Tofauti na ilivyo katika maeneo mengi, kila jina la mtaa unaounda Kata ya Kimara ni simulizi yenye h | Tofauti na ilivyo katika maeneo mengi, kila jina la mtaa unaounda Kata ya Kimara ni simulizi yenye historia maridhawa.
Uwepo wa viwanda, shughuli za kiuchumi na miradi mbalimbali, ndiyo msingi wa ubatizo wa majina hayo, yanayoendelea kutumika hadi sasa.
Unapotokea mjini kati Dar es Salaam, Mtaa wa Kibo ndilo lango la... |
Licha ya mtazamo kuwa, kuimarika kwa usafiri wa reli ya kisasa (SGR) kutaathiri usafiri wa anga kwa | Licha ya mtazamo kuwa, kuimarika kwa usafiri wa reli ya kisasa (SGR) kutaathiri usafiri wa anga kwa upande mmoja, wadau wa usafiri huo, wamesema reli hiyo ya kisasa inaweza kuimarisha sekta ya anga pia.
Matumaini ya wadau hao yanatokana na mtazamo kuwa, kuna uwezekano wa vyanzo hivyo vya usafiri kushirikiana na kuwapa... |
Wakati Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na wadau wengine wakisisitiza uchunguzi huru dhidi ya m | Wakati Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na wadau wengine wakisisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji, Serikali imesema kwanza jamii inapaswa kujiuliza kwanini matukio hayo yanatokea kila unapokaribia uchaguzi.
Katika hoja yake hiyo, Serikali imesema ni rahisi kutupa lawama kwa Jeshi la Polis... |
Hisia na mitazamo tofauti imeibuka juu ya sheria inayomtaka mama kuacha wazi eneo linalopaswa kuandi | Hisia na mitazamo tofauti imeibuka juu ya sheria inayomtaka mama kuacha wazi eneo linalopaswa kuandikwa jina la baba wa mtoto katika cheti cha kuzaliwa, iwapo mzazi huyo wa kiume hajulikani au kuna sababu za kutoandikwa.
Mitazamo hiyo inakuja ikiwa ni siku moja tangu Mwananchi Digital iliporipoti kuhusu takwa la mama ... |
Kutokana na kuongezeka kwa mwamko wa abiria kutumia usafiri wa treni ya umeme (SGR), wamiliki wa mab | Kutokana na kuongezeka kwa mwamko wa abiria kutumia usafiri wa treni ya umeme (SGR), wamiliki wa mabasi nchini wamekuja na mikakati mipya kuhakikisha wanaendelea kuwa sokoni bila biashara zao kuathirika.
Tangu kuanza kwa usafiri huo, wamiliki wa mabasi wamekuwa wakilalamikia changamoto katika soko na tayari wengine wa... |
Licha ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku maandamano ya Chadema, chama hicho kimesema kitu pekee kita | Licha ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku maandamano ya Chadema, chama hicho kimesema kitu pekee kitakachositisha mpango huo ni jeshi hilo kuwarejesha viongozi wote waliotekwa wakiwa hai au wafu.
Mpango wa maandamano ulitangazwa Septemba 12 na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kushinikiza kurudishwa kwa viongozi wak... |
Usisubiri hadi kumbukumbu yake ya kuzaliwa au kumbukizi ya siku ya ndoa ‘anniversary’ kumwonyesha mk | Usisubiri hadi kumbukumbu yake ya kuzaliwa au kumbukizi ya siku ya ndoa ‘anniversary’ kumwonyesha mkeo thamani yake maisha mwako, unajua ipo siku rasmi ya kuadhimisha kumuenzi mke. Kwa lugha ya kimombo inaitwa ‘Wife Appreciation Day’.
Siku hiyo inayoadhimishwa Septemba 15 (leo), kila mwaka imeteuliwa kuwa maalumu kwa ... |
Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha demokrasia katika kipindi ambacho, wanazuoni na ri | Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha demokrasia katika kipindi ambacho, wanazuoni na ripoti mbalimbali zinaonyesha dosari katika misingi ya demokrasia ya nchi.
Kwa mitazamo ya wanazuoni hao, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, ndiyo uliokuwa ukomo wa safari njema ya demokrasia nchini, baada ya kushuhudiwa mising... |
Baadhi ya wanazuoni na wadau wa haki jinai, wamesema hatua ya kuibua tuhuma zinazolichafua Jeshi la | Baadhi ya wanazuoni na wadau wa haki jinai, wamesema hatua ya kuibua tuhuma zinazolichafua Jeshi la Polisi, inawatengenezea sumu wananchi na hivyo wanajenga dharau kwa chombo hicho cha ulinzi na usalama.
Dharau hizo kwa mujibu wa wadau hao, matokeo yake ni vitendo vya uvamizi wa vituo vya polisi na hatimaye kulifanya ... |
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka viongozi wa vyombo vy | Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wasiseme hawawajui wahusika wa uhalifu, kufanya hivyo kunaondoa sababu za wao kuwa na nafasi walizonazo.
Ameisisitiza hoja yake hiyo kwa kuweka wazi kuwa, wahalifu wa utekaji, mauaji na ulawiti wanaj... |
Mataifa mbalimbali duniani yameeleza kusikitishwa na taarifa za vitendo vya ukatili, kupotea na vifo | Mataifa mbalimbali duniani yameeleza kusikitishwa na taarifa za vitendo vya ukatili, kupotea na vifo dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu na kisiasa nchini, huku yakisisitiza uchunguzi wa haraka kubaini wanaohusika.
Masikitizo ya mataifa hayo 15 yanayounda Umoja wa Ulaya (EU) yalitolewa na balozi zao zilizopo nch... |
Licha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza mamlaka za uchunguzi zichunguze matukio ya mauaji, wadau | Licha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuelekeza mamlaka za uchunguzi zichunguze matukio ya mauaji, wadau wamependekeza njia mbadala ya uchunguzi huo, wakitaka vyombo vya dola visihusike kutekeleza jukumu hilo.
Kwa mujibu wa wadau hao, kamisheni maalumu inapaswa kuundwa na mkuu huyo wa nchi itakayohusisha vyombo mbalimbali... |
Gari mbili zilizokuwa na namba za usajili nyeupe zilizoandikwa kwenye vibao vyeusi, ndizo zilizotajw | Gari mbili zilizokuwa na namba za usajili nyeupe zilizoandikwa kwenye vibao vyeusi, ndizo zilizotajwa na mashuhuda kuhusika katika tukio la ukamatwaji wa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, Ally Kibao Septemba 6, mwaka huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda hao, tukio hilo lilitokea saa 1 jioni, muda ambao tayari giza lilishaanz... |
Saa chache baada ya kuripotiwa kwa mauaji ya Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema Ally Kibao, Jeshi la | Saa chache baada ya kuripotiwa kwa mauaji ya Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema Ally Kibao, Jeshi la Polisi limesema limeanza uchunguzi mkali kubaini wahusika wa mauaji hayo ili wachukuliwe hatua za kisheria.
Taarifa za kuuawa kwa Kibao zilisambaa leo, Septemba 8, 2024 katika mitandao ya kijamii, baada ya mwili wake ku... |
‘Ni utata mtupu’ ndiyo maneno yanayoakisi tukio la kuuawa kwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, All | ‘Ni utata mtupu’ ndiyo maneno yanayoakisi tukio la kuuawa kwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema, Ally Kibao lililotokea siku moja baada ya kukamatwa akiwa katika usafiri wa umma kwenda nyumbani kwao mkoni Tanga.
Kinachojenga msingi wa utata ni mazingira ya kukamatwa kwake kulikofanyika Tegeta, mbele ya Jengo la Kibo C... |
Wimbi la vitendo vya mauaji katika siku za hivi karibuni, limehusishwa na kukithiri kwa matatizo ya | Wimbi la vitendo vya mauaji katika siku za hivi karibuni, limehusishwa na kukithiri kwa matatizo ya afya ya akili, kumomonyoka kwa maadili, uelewa duni wa namna ya kuishi, huku umasikini uliopitiliza nao ukitajwa kama moja ya sababu.
Kwa mtazamo wa kisaikolojia, wanazuoni wanasema vitendo hivyo ni dalili ya jamii kupu... |
Ushindani wa kupeperusha bendera mtini, ndiyo unaotajwa kuchochea ugomvi uliomsababishia kipigo na h | Ushindani wa kupeperusha bendera mtini, ndiyo unaotajwa kuchochea ugomvi uliomsababishia kipigo na hatimaye majeraha kiongozi wa Chadema Wilaya ya Tanga, Hussein Ally kutoka kwa vijana wanaodaiwa kuwa wa CCM.
Hatua hiyo, ilifikiwa baada ya vijana wa CCM kushusha bendera ya Chadema iliyokuwepo kwa takriban miaka mitatu... |
Kamati Kuu ya CCM, imewateuwa makada wake 10 kugombea ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), kurithi naf | Kamati Kuu ya CCM, imewateuwa makada wake 10 kugombea ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), kurithi nafasi iliyoachwa wazi na Dk Shongo Sedoyeka aliyefariki Juni 13, mwaka huu.
Hata hivyo, uamuzi huo wa kamati kuu umewakata makada wengine 37 waliotia nia kuomba ridhaa ya chama hicho kuwateuwa kugombea ubunge wa EALA.
Ta... |
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Katibu Mkuu wake, Dk Emmanuel Nchimbi hakukimbia mdahalo kama ili | Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Katibu Mkuu wake, Dk Emmanuel Nchimbi hakukimbia mdahalo kama ilivyoelezwa na Mtangazaji, badala yake hakukuwa na mawasiliano rasmi ya kumwalika.
Kwa mujibu wa taarifa ya CCM, hadi matangazo ya kufanyika mdahalo huo yanasambazwa mitandaoni, Dk Nchimbi hakuwa amethibitisha kushiriki w... |
Haitakuwa lazima tena kwa kila muhitimu wa shahada ya sheria kupita Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria | Haitakuwa lazima tena kwa kila muhitimu wa shahada ya sheria kupita Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST), iwapo hana mpango wa kufanya kazi za uanasheria katika utumishi wa umma.
Matarajio ya kutokea hilo yatafikiwa baada ya marekebisho ya Sheria ya kuanzishwa kwa LST, ambayo kwa sasa inalazimu yeyote an... |
Ukiihesabu miaka minne kwa umri wa binadamu, basi ni mtoto anayemudu kutembea, anakimbia na sasa ana | Ukiihesabu miaka minne kwa umri wa binadamu, basi ni mtoto anayemudu kutembea, anakimbia na sasa anatamka karibu kila neno, hicho ndicho kipindi ambacho Bakari Machumu amehudumu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji katika Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL).
Machumu amekuwa na nafasi hiyo tangu Aprili 29, mwaka... |
Umajumui wa Afrika, uzalendo na uzoefu ndizo sababu zilizotajwa na baadhi ya mataifa ya Afrika Masha | Umajumui wa Afrika, uzalendo na uzoefu ndizo sababu zilizotajwa na baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki kama turufu kwa Raila Odinga katika nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).
Viongozi hao katika hotuba zao, wamemwelezea Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya, kuwa ndiye anayestahili kuwa kiongozi ... |
Licha ya Sera ya Afya ya mwaka 2007 kutoa haki ya huduma bure za matibabu kwa makundi kadhaa ya watu | Licha ya Sera ya Afya ya mwaka 2007 kutoa haki ya huduma bure za matibabu kwa makundi kadhaa ya watu wakiwamo watoto, imebainika sehemu kubwa ya kundi hilo hugharimika kupata matibabu kinyume na matakwa ya sera hiyo.
Kwa mujibu wa sera ya afya, huduma hizo kwa wazee, wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mita... |
Wakati wadau wakilalamikia wimbi la utekaji nchini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kim | Wakati wadau wakilalamikia wimbi la utekaji nchini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepigia msumari kuundwa kwa tume ya majaji itakayofanya uchunguzi wa kina utakaowezesha kuchukuliwa hatua za kisheria.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mwenye mamlaka ya k... |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amelitaka Shirika la Nd | Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kuangalia zaidi safari za ndege zake zitakazopitia Zanzibar ili kukuza uchumi.
Kwa mujibu wa Dk Mwinyi, hatua hiyo itawezesha kuwavutia watlii wanaotembelea vivutio vilivyopo visiwani Zanzibar na Ta... |
Miongo sita iliyopita siku kama ya leo, Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) lilizaliwa baada ya kukami | Miongo sita iliyopita siku kama ya leo, Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) lilizaliwa baada ya kukamilika mchakato wa kuunganishwa kati ya lile la Zanzibar na Tanganyika.
Jeshi la Zanzibar wakati huo liliitwa la Ukombozi, huku Tanganyika likiitwa Military Force na muungano huo uliunda jina la Jeshi la Ulinzi la Wananch... |
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camilius Wambura amemuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mal | Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camilius Wambura amemuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya na nafasi yake kurithiwa na George Katabazi, huku jeshi hilo likitangaza kuwafikisha mahakamani leo wanaotuhumiwa kumbaka na kumlawiti binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya.
Kamanda Mallya anaondolewa katika na... |
Maswali tata yamegubika mwenendo wa uchunguzi wa tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti anayedaiwa | Maswali tata yamegubika mwenendo wa uchunguzi wa tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, baada ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theropista Mallya kufafanua kuhusu hatua za uchunguzi huo.
Maelezo ya kamanda huyo yaliyoibua maswali ni kuhusu vijana hao kutotumwa na afande, laki... |
Baada ya kupotea kwa siku nne ikidaiwa ametekwa na vijana watatu hatimaye, Ally Pweku (22) Mkazi wa | Baada ya kupotea kwa siku nne ikidaiwa ametekwa na vijana watatu hatimaye, Ally Pweku (22) Mkazi wa Mbwate, mkoani Pwani, amekutwa amefariki vichakani.
Inadaiwa kijana huyo alitekwa usiku wa Agosti 14, 2024 kwenye moja ya baa zilizopo mtaani hapo, alikokuwepo akipata kinywaji cha pombe.
Kwa mujibu wa wakazi wa mtaa h... |
Joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaanza ku | Joto la uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaanza kufukuta, huku likiibuka swali la nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu atakayepitishwa kuipeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi hiyo.
Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, ameshaonyesha kusu... |
Uamuzi wa mamlaka ya uteuzi kuwang’oa viongozi hasa katika Baraza la Mawaziri, umetajwa kuchochewa n | Uamuzi wa mamlaka ya uteuzi kuwang’oa viongozi hasa katika Baraza la Mawaziri, umetajwa kuchochewa na kasoro za ufanisi katika utendaji wao.
Kwa mujibu wa wanazuoni, mabadiliko yoyote hasa yanayohusisha kumuondoa kabisa kiongozi, yanalenga kuleta ufanisi ambao usingepatikana kama angebaki aliyekuwepo.
Wanazuoni hao w... |
Unyeti wa Wizara ya Maliasili na Utalii na rundo la wajibu unaotegemea utashi wa wizara nyingine, nd | Unyeti wa Wizara ya Maliasili na Utalii na rundo la wajibu unaotegemea utashi wa wizara nyingine, ndiyo sababu iliyotajwa na wadau kuifanya wizara hiyo iwe mapito ya muda mfupi kwa kila anayeteuliwa.
Kauli hiyo ya wadau inakuja, wakati ambao Wizara ya Maliasi na Utalii imeonekana kukumbwa na kila wimbi la mabadiliko y... |
Licha ya sifa zinazonadiwa na Serikali juu ya mwenendo sahihi wa utawala wa awamu ya sita, robo ya W | Licha ya sifa zinazonadiwa na Serikali juu ya mwenendo sahihi wa utawala wa awamu ya sita, robo ya Watanzania wameonyesha taifa lilikuwa katika mwelekeo mbaya kwa mwaka 2022.
Wakati wananchi wakiwa na mitazamo hiyo, asilimia 67 ya Watanzania waliohojiwa hawaelewi kuhusu hali zao za maisha, huku asilimia 20 wakisema ni... |
Shirika la Kimataifa la Kupigania Haki za Binadamu la Amnesty International limeungana na wadau wa n | Shirika la Kimataifa la Kupigania Haki za Binadamu la Amnesty International limeungana na wadau wa ndani kulaani vitendo vya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa Chadema.
Matamko ya kulaani vitendo hivyo yameendelea kutolewa na wadau mbalimbali wa haki za binadamu, wakipinga uamuzi wa Jeshi la Polisi nchini kuwashikil... |
Hofu ya viongozi juu ya kilichotokea nchini Kenya na Bangladesh ni moja ya jambo lililotajwa kama sa | Hofu ya viongozi juu ya kilichotokea nchini Kenya na Bangladesh ni moja ya jambo lililotajwa kama sababu ya Serikali kuliwekea vikwazo Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), kufanya shughuli ya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.
Kwa mujibu wa wanazuoni wa sayansi ya siasa, utawala katika mataifa kadhaa ulimwenguni... |
Itakuhitaji ama uamue kukubali kubeba mzigo wa dhambi zisizokuhusu na ukae kimya au uwe muwazi na mw | Itakuhitaji ama uamue kukubali kubeba mzigo wa dhambi zisizokuhusu na ukae kimya au uwe muwazi na mwenye misimamo ambayo hatma yake ni kuvunja amani ya familia.
Hayo ni machaguo mawili yanayoakisi uhalisia wa maisha ya yeyote aliyeamua kuishi kwa ndugu, ambaye aghalabu mikasa, vituko na masimango huwa sehemu ya maisha... |
Vikwazo vimeiandama shughuli ya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyopangwa kufanywa na Baraza | Vikwazo vimeiandama shughuli ya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani iliyopangwa kufanywa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya mamlaka za Serikali kudai kuna ishara ya hamasa ya uvunjifu wa amani na vurugu ndani yake.
Kilichoiponza Bavicha hadi kukumbwa na vigingi vya Serikali kuelekea shughuli hiyo, ni... |
Jumla ya magari 20 aina ya Coaster yaliyobeba vijana wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), zimez | Jumla ya magari 20 aina ya Coaster yaliyobeba vijana wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), zimezuiliwa na Jeshi la Polisi kwenda mkoani Mbeya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.
Hata hivyo, baraza hilo limeweka wazi kila kinachofanywa dhidi yao kuelekea siku hiyo, hakitakuwa kikwazo cha kuadhimishwa k... |
Kampuni ya Orca Energy Group Inc, iliyoorodheshwa katika soko la hisa la Toronto ikitokea katika vis | Kampuni ya Orca Energy Group Inc, iliyoorodheshwa katika soko la hisa la Toronto ikitokea katika visiwa vya vya Virgin vya Uingereza, imewasilisha madai makubwa ya Dola za Marekani bilioni 1.2 (Sh3.2 trilioni) dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Hatua hii ya kis... |
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema mafanikio ya kupanua wigo wa kod | Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema mafanikio ya kupanua wigo wa kodi nchini, yatafikiwa kwa kuoanisha mifumo ya mamlaka hiyo na taasisi nyingine za Serikali.
Kupitia uoanishaji mifumo, Mwenda amesema kutawezesha kubaini mwenendo na ukubwa wa biashara za mfanyabiashara husika na hatimay... |
Jeshi Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema upelelezi wa tukio la binti aliyebakwa na kulaw | Jeshi Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema upelelezi wa tukio la binti aliyebakwa na kulawitiwa kisha video yake ikasambazwa katika mitandao ya kijamii upo hatua za mwisho.
Sambamba na hilo, jeshi hilo limekanusha taarifa ilizodai za uzushi kuhusu kifo cha binti alitefanyiwa ukatili huo, likidai yupo hai.
V... |
Vuguvugu la kurejea ndani ya Chadema kwa baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya wale 19 waliowahi | Vuguvugu la kurejea ndani ya Chadema kwa baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya wale 19 waliowahi kuvuliwa uanachama wa chama hicho limeanza.
Harakati hizo zinaanza katika kipindi ambacho, Tanzania inakaribia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani.
Wabunge hao ni wale ambao Novemb... |
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hatari ya kutokuwepo kwa chakula na kupanda zaidi kwa bei ya sukari | Rais Samia Suluhu Hassan amesema hatari ya kutokuwepo kwa chakula na kupanda zaidi kwa bei ya sukari nchini, kutawaingiza barabarani vijana wa kizazi cha Z maarufu GenZ.
Kauli hiyo ya Rais Samia inaakisi kilichotokea katika mataifa kadhaa ya Afrika, yakitanguliwa na Kenya ambapo vijana waliozaliwa mwaka 2000, waliingi... |
Licha ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuthibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa ub | Licha ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuthibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa mkazi wa Yombo Dovya, bado kuna utata wa taarifa juu ya mwenendo wa hatua dhidi ya tukio hilo.
Utata huo unatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi ya jana jioni, iliyoeleza kuwa uchung... |
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Stergomena Tax amesema Serikali haitavumilia uvunjwaj | Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Stergomena Tax amesema Serikali haitavumilia uvunjwaji wa aina yoyote wa sheria na yeyote atakayebainika kufanya hivyo, atachukuliwa hatua stahiki.
Kauli ya Dk Tax inajibu tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, lililofanywa na ... |
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuridhia pendekezo la Wizara ya Kilimo la kuongeza bei ya kilo m | Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuridhia pendekezo la Wizara ya Kilimo la kuongeza bei ya kilo moja ya mpunga kutoka Sh500 hadi Sh900.
Sambamba na hilo, ametaka Serikali inunue zao hilo kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kuepuka madalali ambao mara nyingi wanawakandamiza wakulima.
Uamuzi huo... |
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya uanzishwaji wa vijiji vipya unaofanywa kwa maslahi ya kis | Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya uanzishwaji wa vijiji vipya unaofanywa kwa maslahi ya kisiasa, akisema ndiyo inayochochea uvamizi wa maeneo ya hifadhi.
Sambamba na hilo, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii isisubiri wananchi wavamie na kuyaendeleza maeneo ya hifadhi ndiyo ishtuke, badala yake inapaswa ku... |
Hatari ya bidhaa bandia nchini
Juma Issihaka, Mwananchi
jissihaka@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. | Hatari ya bidhaa bandia nchini
Juma Issihaka, Mwananchi
jissihaka@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Licha ya changamoto za kikodi zinazowakabili wafanyabiashara na zinatafutiwa jawabu, uzalishwaji na uingizwaji wa bidhaa bandia ni tatizo lingine kwa sekta ya biashara nchini.
Duniani asilimia 2.5 hadi 3.5 ya biashara z... |
Vitendo vya matumizi mabaya ya fedha za umma vimeendelea kuwa kitendawili kisichoteguka nchini, baad | Vitendo vya matumizi mabaya ya fedha za umma vimeendelea kuwa kitendawili kisichoteguka nchini, baada ya Taasisi ya Kudhibiti na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kubaini kasoro katika matumizi ya mabilioni kwenye mikoa mitano.
Mikoa iliyoguswa na ripoti hiyo ya utendaji kazi wa Takukuru kwa kipindi cha Aprili hadi Juni... |
Licha ya Serikali kulifungia kanisa la Christian Life Church (C.L.C), lililoongozwa na Dominique Dib | Licha ya Serikali kulifungia kanisa la Christian Life Church (C.L.C), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu ‘Kiboko ya Wachawi’ imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo kama kawaida, huku akiomba mamilioni ya fedha kwa waumini wake.
Tofauti na awali, Dibwe ambaye ni raia wa Jamhuri ya Demokrasi... |
Itakugharimu wastani wa Sh3.81 milioni kwa mwaka, kumiliki jenereta linalotumia mafuta kwa ajili ya | Itakugharimu wastani wa Sh3.81 milioni kwa mwaka, kumiliki jenereta linalotumia mafuta kwa ajili ya umwagiliaji katika shughuli za kilimo na litadumu kwa miaka mitatu pekee.
Wakati huo huo, mkulima atagharimika Sh10 milioni kumiliki mitambo ya nishati ya umeme jua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji, ambao kiuhalisia ... |
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kimemtangaza Boniface Mwabukusi kuwa rais wa chama hicho, huku | Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kimemtangaza Boniface Mwabukusi kuwa rais wa chama hicho, huku misimamo na ujasiri wake, zikitajwa kuwa miongoni mwa turufu zilizompa ushindi.
Mwabukusi ametangazwa mshindi wa kiti hicho, kwa kupata kura …. ambazo ni sawa na asilimia dhidi ya washindani wake Sweetbert Nkuba, Revocu... |
Matumaini ya kutangazwa mapema kwa mshindi wa kiti cha urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) | Matumaini ya kutangazwa mapema kwa mshindi wa kiti cha urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) jana, huenda yameyeyushwa na pigo lililokipata chama hicho la kumpoteza mmoja wa wanachama wake.
Katikati ya matarajio ya kupatikana kwa kiongozi huyo wa mawakili mapema jana, TLS ilipata msiba wa Maria Pengo, ambaye ni... |
Rais Samia Suluhu Hassan ni kama ametupa jiwe gizani, akimpigia chapuo Mbunge wa Kilosa (CCM), Profe | Rais Samia Suluhu Hassan ni kama ametupa jiwe gizani, akimpigia chapuo Mbunge wa Kilosa (CCM), Profesa Palagamba Kabudi, achaguliwe tena na wananchi wa jimbo hilo aendelee kuwawakilisha.
Katika kauli yake mbele ya wananchi wa Kilosa, mkuu huyo wa nchi aliwaambia; “Endeleeni kuniletea Kabudi (Profesa).”
Kauli inayofan... |
Pengine kila anayeonekana na mafanikio leo, zipo nyakati ngumu alizopitia jana ambazo kama si kukoma | Pengine kila anayeonekana na mafanikio leo, zipo nyakati ngumu alizopitia jana ambazo kama si kukomaa asingeupata umaarufu alionao.
Katika hili, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Stergomena Tax ni kielelezo sahihi, anayesimulia magumu aliyowahi kupitia katika safari yake ya kuisaka elimu.
Kwa mujibu wa w... |
Ingawa kuimarika kwa huduma za treni ya umeme ni furaha kwa abiria, kwa upande wa wamiliki wa mabasi | Ingawa kuimarika kwa huduma za treni ya umeme ni furaha kwa abiria, kwa upande wa wamiliki wa mabasi ni maumivu, wakilalamika juu ya kudorora kwa biashara.
Malalamiko ya wasafirishaji hao yanakuja katika kipindi ambacho, safari za treni ya umeme zinazidi kuimarika na leo, Agosti 1, 2024, Rais Samia Suluhu Hassan amezi... |
Yametimia, ndilo neno jepesi linaloweza kuakisi uhalisia wa safari ya utekelezaji wa mradi wa Reli y | Yametimia, ndilo neno jepesi linaloweza kuakisi uhalisia wa safari ya utekelezaji wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), uliopitia milima na mabonde hadi kufika sasa wananchi wanaposafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.
Hoja ya yametimia inajengwa na msingi wa uhalisia kuwa, ndoto ya ukamilishwaji wa mradi wa S... |
Serikali imetakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kuwabaini wanaojihusisha na vitendo vya ukatili dhi | Serikali imetakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kuwabaini wanaojihusisha na vitendo vya ukatili dhidhi ya watoto ukiwemo utekaji, ili kutokomeza matukio yanayoendelea nchini.
Ushauri huo unatolewa katika kipindi ambacho, kumeripotiwa matukio kadhaa ya madai ya kutekwa na kutoweka kwa watoto nchini.
Hata hivyo, Wazir... |
Wakati safari za treni ya umeme zikiathiriwa kwa takriban saa mbili kutokana na hitilafu ya umeme il | Wakati safari za treni ya umeme zikiathiriwa kwa takriban saa mbili kutokana na hitilafu ya umeme iliyosababishwa na ndege na wanyama, Shirika la Reli Tanzania (TRC), limesema kuna matarajio ya viumbe hao kuhama.
Kuhama kwa ndege na wanyama hao, kutatokana na kile kilichoelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadog... |
Licha ya changamoto zinazotajwa katika kufikia malengo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini | Licha ya changamoto zinazotajwa katika kufikia malengo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini, juhudi zinazofanyika zinaonyesha matumaini ya kufikiwa kunakotarajiwa.
Miongoni mwa changamoto zinazotajwa katika mkakati wa mabadiliko ya matumizi ya nishati ya kupikia ni uelewa na mitazamo hasi ya jamii.
Lakini Se... |
Nani mrithi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, ndilo swali linalouliz | Nani mrithi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, ndilo swali linaloulizwa na wengi baada ya aliyekuwa na wadhifa huo, Abdulrahman Kinana kujiuzulu.
Taarifa ya kujiuzulu kwa Kinana ilitolewa na CCM juzi, ikinukuu sehemu ya barua ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni mwenyekiti wa chama hich... |
Magumu yanayowakabili wafanyabiashara huenda yakapata mwarobaini, baada ya Serikali kutangaza mpango | Magumu yanayowakabili wafanyabiashara huenda yakapata mwarobaini, baada ya Serikali kutangaza mpango wa kuunda kamati ya maboresho ya mifumo ya kikodi.
Kamati hiyo itakayoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhusisha wajumbe kutoka sekta ya umma na binafsi, inatarajiwa kuja na mapendekezo yatakayofumua mifumo ya kik... |
Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza msimamo wake wa kupinga uchaguzi kufanyika kwa siku mbili visiw | Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza msimamo wake wa kupinga uchaguzi kufanyika kwa siku mbili visiwani Zanzibar, kikitaka ufanywe kwa siku moja.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama hicho Othman Msoud Othman, hawatakubali jambo kama hilo liendelee kufanyika visiwani humo.
Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais v... |
Suala la kupatikana kwa Katiba mpya, ulinzi wa rasilimali za taifa na matukio ya utekaji ni miongoni | Suala la kupatikana kwa Katiba mpya, ulinzi wa rasilimali za taifa na matukio ya utekaji ni miongoni mwa mambo yaliyojenga msingi wa hoja za wagombea wengi wa urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS).
Hoja hizo zilikuwa mithiri ya turufu kwa kila mgombea alipojibu maswali yaliyoulizwa katika mdahalo uliohusisha wa... |
Uteuzi ni jambo moja, lakini kuitumikia nafasi uliyoteuliwa ni jambo lingine, hiki ndicho kinachowas | Uteuzi ni jambo moja, lakini kuitumikia nafasi uliyoteuliwa ni jambo lingine, hiki ndicho kinachowasubiri mawaziri wanne wapya katika wizara mbalimbali ambao tayari wameshateuliwa Julai 21, mwaka huu na kilichobaki ni kutumikia nyadhifa zao.
Ingawa uteuzi aghalabu ni faraja kwa mteuliwa, wadau wa sekta zitakazoongozwa... |
Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma, ambao m | Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma, ambao miili yao imeokotwa na mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali.
Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo unaodaiwa kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali, umekutwa ukiwa umefungwa katika nailoni, boksi na kiroba.
Ak... |
Pamoja na uhakika wa kufika haraka, kupenya kwenye msongamano na gharama nafuu za usafiri wa bodabod | Pamoja na uhakika wa kufika haraka, kupenya kwenye msongamano na gharama nafuu za usafiri wa bodaboda, unajua madhara ya kiafya yaliyojificha nyuma ya raha hizo?
Sikutishi uache kupanda au kuendesha bodaboda, muktadha wa andiko hili ni mtazamo wa wataalamu wa afya, wanaoeleza madhara ya kiafya yanayowakabili watumiaji... |
Licha ya madai ya kukithiri kwa vitendo vya rushwa katika sekta ya usafiri hasa wa daladala, wadau w | Licha ya madai ya kukithiri kwa vitendo vya rushwa katika sekta ya usafiri hasa wa daladala, wadau wa sekta hiyo wameonyesha uwepo wa mazingira magumu ya udhibiti wa vitendo hivyo.
Mazingira hayo magumu ya udhibiti wa rushwa kwa mujibu wa wadau hao, yanatokana na kuwepo kwa mnyororo mrefu wa vitendo hivyo unaohusisha ... |
Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kw | Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza.
Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika wadhifa huo, ilitolewa aki... |
Mbunge wa kuteuliwa, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackso | Mbunge wa kuteuliwa, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ya kujiuzulu nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa barua aliyomwandikia Dk Tulia, Balozi Mbarouk amesema sababu ya uamuzi wake huo ni changamoto za kijamii zinazomkabili sasa.
“Ninalazimika kuchukua uamuzi wa kujiuzulu ili nipa... |
“Ukiwa dereva wa daladala Dar es Salaam unawatumikia mabosi wawili; kwanza mmiliki wa gari na pili, | “Ukiwa dereva wa daladala Dar es Salaam unawatumikia mabosi wawili; kwanza mmiliki wa gari na pili, trafiki.”
Ni kauli ya Bosco Joram (si jina halisi) dereva wa daladala linalofanya safari kati ya Buyuni Chanika na Ubungo Simu 2000.
Malalamiko ya Joram yanatolewa na idadi kubwa ya madereva na makondakta wa daladala w... |
Licha ya Serikali kubadili mfumo wa utahini kwa masomo sita ya elimu ya msingi likiwemo hesabu, wada | Licha ya Serikali kubadili mfumo wa utahini kwa masomo sita ya elimu ya msingi likiwemo hesabu, wadau wa elimu wamesema juhudi hizo zifanywe pia katika kuwaandaa walimu wawe na umahiri wa kufundisha masomo hayo.
Ingawa kumekuwa na mapokezi chanya ya mabadiliko hayo, baadhi ya wadau wameonyesha upinzani hasa katika mti... |
Mawaziri wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameonyesha mashaka juu ya kuzorota kwa hali | Mawaziri wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameonyesha mashaka juu ya kuzorota kwa hali ya kibinadamu na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), huku akipendekeza muda wa kusitishwa mapigano usiwe na kikomo.
Mawaziri hao wanaoshughulikia Amani na Usalama na Mahusiano ya Nchi Wanachama w... |
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeipinga kauli ya kiongozi wake wa zamani, Nape Nnauye aliyesesema ushi | Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeipinga kauli ya kiongozi wake wa zamani, Nape Nnauye aliyesesema ushindi katika uchaguzi hautokani na wingi wa kura za kwenye boksi, bali unategema nani anayehesabu na kutangaza matokeo.
Nnauye aliyewahi kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, alitoa kauli hiyo jana usi... |
Baada ya muda mrefu wa kutoa huduma za kisheria bila taaluma, hatimaye usaidizi wa kisheria imetambu | Baada ya muda mrefu wa kutoa huduma za kisheria bila taaluma, hatimaye usaidizi wa kisheria imetambuliwa na kuwa taaluma rasmi.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST) kupewa jukumu la kutoa mafunzo ya taaluma hiyo kwa ngazi ya astashahada na stashahada.
Licha ya wasaidizi wa ... |
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson ametia mguu katika kuongeza nguvu ya shiniki | Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson ametia mguu katika kuongeza nguvu ya shinikizo la kupatikana suluhu ya mgogoro kati ya Urusi na Ukraine.
Mgogoro kati ya mataifa hayo umevuka mwaka sasa, huku juhuzi za jumuiya ya kimataifa na wapatanishi mbalimbali zikionekana kugonga mwamba.
Hatua ya mkuu huyo... |
Maandamano mengine ya wafanyabiashara yameibuka katika Soko la Kariakoo, wakilalamikia majina yao ku | Maandamano mengine ya wafanyabiashara yameibuka katika Soko la Kariakoo, wakilalamikia majina yao kukatwa katika orodha ya wanaopaswa kurejeshwa sokoni humo.
Maandamano hayo yaliohusisha wafanyabiashara zaidi ya 800, yamelenga kuushinikiza uongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo kuingiza majina yao ili nao wawe sehemu y... |
Reli ya Kisasa (SGR) imeonekana kuwavutia wasafiri wengi tangu ilipoanza kutumika nchini, ikisafiris | Reli ya Kisasa (SGR) imeonekana kuwavutia wasafiri wengi tangu ilipoanza kutumika nchini, ikisafirisha abiria zaidi ya abiria 4,000 kwa siku kwa mujibu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Idadi ya abiria wanaosafiri kwa treni hiyo kwa siku imefikia kiwango hicho katika kipindi ambacho, safari pekee zinazofanyika ni kat... |
Kubweteka kisera, mawazo na mfumo wa siasa ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuviweka baadhi ya vya | Kubweteka kisera, mawazo na mfumo wa siasa ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuviweka baadhi ya vyama tawala vya siasa, katika mstari mwembamba wa ushindi au kushindwa kabisa chaguzi zilizofanyika hivi karibuni.
Kwa mujibu wa wanazuoni wa sayansi ya siasa, matokeo mabaya katika chaguzi za hivi karibuni dhidi ya vyama... |
Kama ilikuwa kiu yako kuwa na ofisi au makazi katika ghorofa na gharama kubwa ya kodi ya pango ndiyo | Kama ilikuwa kiu yako kuwa na ofisi au makazi katika ghorofa na gharama kubwa ya kodi ya pango ndiyo iliyokuwa kikwazo, pengine huu ni wakati mzuri wa kutimiza ndoto yako.
Hiyo inatokana na kupungua kwa zaidi ya nusu ya bei ya pango katika majengo ya maghorofa kadhaa nchini, kwa mujibu wa ripoti ya uthabiti wa kifedha... |
Uamuzi wa kukataa kusoma somo la Fizikia, unadaiwa kumsababishia mwanafunzi Finileth Augustine (18) | Uamuzi wa kukataa kusoma somo la Fizikia, unadaiwa kumsababishia mwanafunzi Finileth Augustine (18) wa Shule ya Sekondari Kiteme, kichapo kilichomlaza Hospitali kwa siku nne tangu Julai 4, mwaka huu.
Mwanafunzi huyo, inadaiwa alijikuta akila kichapo hicho cha fimbo kutoka kwa Mkuu wa Shule hiyo,…. baada ya uamuzi wake... |
Huenda maisha ya ustaafu ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Lain Kamendu ya | Huenda maisha ya ustaafu ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Lain Kamendu yakaanza kwa msukosuko, baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza arudishwe kujibu tuhuma za ubadhirifu.
Kamendu aliyestaafu utumishi wa umma, Juni 22, mwaka huu anatuhumiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za ujenzi wa Bw... |
Katika hali isiyotabirika, mgomo na maandamano ya wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga ulizuka kw | Katika hali isiyotabirika, mgomo na maandamano ya wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga ulizuka kwa takriban saa tano katika Soko la Simu2000 jijini Dar es Salaam.
Mzizi wa mgomo huo, ni kuishinikiza Manispaa ya Ubungo ifute uamuzi wake wa kukabidhi eneo linalotumiwa na Machinga kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ... |
Hali ya hofu imezuka katika makaburi ya sabasaba jijini Mbeya, baada ya watu wasiojulikana kuyageuza | Hali ya hofu imezuka katika makaburi ya sabasaba jijini Mbeya, baada ya watu wasiojulikana kuyageuza makaburi hayo kuwa vitanda kwa ajili ya malazi.
Hofu zaidi inatokana na matukio ya kustaajabisha yanayofululiza katika eneo hilo, ikiwemo watu hao wanaolala juu ya makaburi hujifunika nguo nyeupe mithiri ya sanda.
Kwa... |
Hofu imezuka kwa wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga katika Soko la Simu2000, baada ya kuwepo mp | Hofu imezuka kwa wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga katika Soko la Simu2000, baada ya kuwepo mpango wa sehemu ya eneo hilo kukabidhiwa kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART).
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, Dart inapewa eneo hilo kwa ajili ya kujenga Karakana ya mabasi yake, mbadala wa ile iliyopo Jangwan... |
Uamuzi wa Serikali kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga katika barabara na kuwapatia ma | Uamuzi wa Serikali kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu Machinga katika barabara na kuwapatia maeneo rasmi ya kufanyia shughuli zao, umeonekana kugonga mwamba.
Hiyo ni baada ya makundi ya wafanyabiashara hao, kushuhudiwa wakirejea kwa kasi barabarani, huku ugumu wa biashara katika maeneo waliyopangiwa, wakiitaja k... |
Baada ya kushika kasi bungeni, mjadala wa sukari hatimaye umehamia nje ya muhimili huo, huku Bodi ya | Baada ya kushika kasi bungeni, mjadala wa sukari hatimaye umehamia nje ya muhimili huo, huku Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), ikipingana na hoja za Chama cha Wazalishaji wa Sukari Tanzania (TSPA).
Miongoni mwa hoja za wazalishaji zilizopingwa na SBT ni ile inayodai bodi hiyo ilizipa kampuni zilizoitwa za vocha mamlaka y... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.